Posted on: October 29th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Bi.Rehema Bwasi amekabidhi kadi za Pikipiki Kwa Kikundi Cha Vijana kinachojulikana kama Boda Tuzo ambacho ni miongoni mwa wanufaika wa Mikopo ya 10%...
Posted on: October 26th, 2024
Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoa wa Manyara wamejitokeza kwa wingi kufanya usafi kuzunguka Ofisi za Halmashauri ya Mji huo kwa lengo la kuhakikisha Mji unakuwa safi wakati wote.
Wa...
Posted on: October 22nd, 2024
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024 hizi ndio nafasi zinazogombewa ambapo kwa sasa mchakato wa kupata wagombea kupitia vyama vyao umeanza na unaendele...