Posted on: November 12th, 2024
Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara imedhamiria kuhakikisha wazee wasiojiweza wanapata Vitambulisho vya msamaha ili waweze kupata matibabu bure Hospitalini.
Hayo yamesema na Afisa U...
Posted on: November 11th, 2024
Maandalizi ya Vitambulisho vya Msamaha kwa Wazee vitakavyowasaidia kupata matibabu bure yanaendelea katika Kata ya Ayamohe na Uhuru Halmashauri ya Mji wa Mbulu.
Kufuatia mwendelezo huo, Afisa Ust...
Posted on: November 7th, 2024
Timu ya Wataalamu wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu imetembelea kuona utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa Katika Halmashauri.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Mbulu N...