Posted on: March 20th, 2025
Wataalamu wa Mazingira Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa Wananchi juu ya utunzaji wa uoto wa asili.
Rai hiyo imetolewa mapema hii leo tarehe 2...
Posted on: March 18th, 2025
Timu ya Wataalamu ya Halmashauri ya Mji wa Mbulu( CMT) imetembelea kuona maendeleo ya Miradi inayotekelezwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Mbulu na kushauri kuongezwa umakini katika usimami...
Posted on: February 22nd, 2025
Wananchi, wafanyabiashara na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu wamefanya usafi wa mazingira ambao hufanyika kila juma la mwisho wa mwezi.
Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 22 Februali, 2025 ...