Posted on: February 21st, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mhe. Michael Semindu amewataka wateule wa Rais, Madiwani na watumishi wa Umma kuhakikisha wanatoa mrejesho wa shughuli za wananchi zinazohusu shughuli za maendeleo kwa wakati.
...
Posted on: February 19th, 2025
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Mbulu limeketi leo tarehe 19 Februali, 2025 kwenye Mkutano wa robo ya pili na kupokea taarifa za maendeleo ya Kata
...
Posted on: February 18th, 2025
Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya mji wa Mbulu wamepatiwa Mafunzo ya namna ya utumiaji wa Mfumo wa Manunuzi (Nest).
Akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo hayo Kaimu Mkurugenz...