Posted on: January 14th, 2025
Kamati za Ujenzi na wasimamizi wa miradi inayotekelezwa kwa fedha za Serikali Halmashauri ya Mji wa Mbulu wametakiwa kusimamia fedha hizo kwa umakini ili kutekeleza miradi husika.
Maelekezo hay...
Posted on: January 13th, 2025
Wakandarasi na wasimamizi wa miradi ya Afya na Elimu Wilayani Mbulu wameagizwa kukamilisha miradi yao kwa wakati ili kutimiza malengo ya Serikali kwa wakati.
Maagizo hayo yametolewa leo Ja...
Posted on: January 13th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mhe. Veronica Kessy amewaagiza Watendaji kata kuhakikisha wazazi na walezi wa wanafunzi wanapata chakula cha mchana shuleni.
Mhe. Kessy ametoa rai hiyo mapema l...