Posted on: December 10th, 2024
Serikali imesema itaendelea kuimarisha Kamati za MTAKUWA katika ngazi ya Halmashauri, Vijiji na Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbulu ili kufanikisha zoezi la kupambana na ukatili wa Kijinsia
...
Posted on: December 8th, 2024
Kuelekea Maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, Halmashauri ya Mji wa Mbulu imefanya Bonanza maalumu la michezo leo tarehe 8 Disemba, 2024 katika uwanja wa Halmashauri ya mji wa Mbulu.
...
Posted on: December 1st, 2024
Wananchi Wilayani Mbulu Mkoani Manyara wametakiwa kuwa mabalozi katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.
Rai hiyo imetolewa mapema leo Disemba 1, 2024 na Mbunge wa Jimbo...