Posted on: December 8th, 2024
Kuelekea Maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, Halmashauri ya Mji wa Mbulu imefanya Bonanza maalumu la michezo leo tarehe 8 Disemba, 2024 katika uwanja wa Halmashauri ya mji wa Mbulu.
...
Posted on: December 1st, 2024
Wananchi Wilayani Mbulu Mkoani Manyara wametakiwa kuwa mabalozi katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.
Rai hiyo imetolewa mapema leo Disemba 1, 2024 na Mbunge wa Jimbo...
Posted on: November 28th, 2024
Wenyeviti wa mitaa na Vitongoji, pamoja na Wajumbe Halmashauri za Mitaa, Vijiji na vitongoji kundi Mchanganyiko na Viti Maalumu Wanawake( Wateule) , wameapishwa leo Novemba 28, 2024, katika maeneo tof...