• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

MAAFISA HABARI WAMETAKIWA KUTOA MAJIBU YENYE UTOSHELEVU KWA WANANCHI

Posted on: May 24th, 2025

Maafisa Habari wa mikoa na halmashauri kote nchini kuhakikisha wanatekeleza kikamilifu jukumu lao la kuhabarisha umma kuhusu utekelezaji wa shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali katika maeneo yao kwa Kutoa Majibu toshelevu kwa Wanachi.


Wito huo umetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu. Gerson Msigwa wakati wa akifunga kikao kazi cha Maafisa Habari wa mikoa na halmashauri zote nchini kilichofanyika jijini Dodoma.


Amesisitiza kuwa wananchi wanahitaji taarifa sahihi, kwa wakati, na zenye kueleweka kuhusu miradi ya maendeleo, huduma za kijamii, na mikakati ya serikali ya kuwahudumia.


“Maafisa Habari mnapaswa kuwa sauti ya serikali katika maeneo yenu. Mna wajibu wa kuhakikisha mafanikio ya serikali yanawafikia wananchi, na pia changamoto zinazojitokeza zinaelezwa kwa uhalisia wake,” alisema Ndugu. Msigwa


Aidha Ndugu. Msigwa ameongeza kuwa kutofikisha taarifa kwa wananchi kunapunguza uelewa na ushiriki wao katika utekelezaji wa sera na mipango ya serikali, jambo ambalo linaweza kusababisha upotoshaji au malalamiko yasiyo na msingi.


Serikali imeahidi kuendelea kuwawezesha maafisa habari kwa kuwapatia mafunzo, vifaa na teknolojia ya ikisasa ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.


Vilevile, amewahimiza maafisa habari kushirikiana na vyombo vya habari vya kitaifa na vya jamii katika kueneza taarifa.


“Nendeni mkatangaze Mafanikio ya serikali kwani taifa linawategemea ninyi kama daraja kati ya serikali na wananchi.”



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WANANCHI TUTUMIENI FURSA YA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIAFYA-RC SENDIGA

    December 16, 2025
  • MADIWANI WASISITIZWA KUZINGATIA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA KATIKA UTENDAJI

    December 04, 2025
  • “SHIRIKIANENI NA WATAALAMU KUHAKIKISHA MIRADI VIPORO INAKAMILIKA NA KUANZA KUTOA HUDUMA”

    December 03, 2025
  • MADIWANI WAMPONGEZA MKURUGENZI KWA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA HALMASHAURI

    December 03, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.