Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Mbulu limeketi leo tarehe 19 Februali, 2025 kwenye Mkutano wa robo ya pili na kupokea taarifa za maendeleo ya Kata