Katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama, kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi wananchi na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu wanahakikisha wanafanya usafi kwenye maeneo mbalimbali ya mji

Leo tarehe 28 Disemba, 2024 juma la mwisho wa Mwezi wananchi na watumishi wamekutana eneo la Mtaa wa Uhuru karibu na Daraja la kwenda Hospitali ya Halmashauri ya Mji kufanya usafi kwa kukusanya na kuchoma taka, kufyeka na kufagia katika eneo hilo.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.