Rai hiyo imetolewa septemba 26,2025 na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mhe.Michael Semindu akiwa Mgeni rasmi katika hafla ya kuwapongeza walimu wa sekondari kwa ufaulu wa wanafunzi kwa mwaka 2024.
Akizungumza na washiriki wa hafla hiyo Mhe. Semindu amewasisitiza watumishi kuwa na nidhamu ikiwa ni pamoja kutimiza majukumu bila kulazimishwa na mtu yeyote ili kutoa huduma bora kwa wananchi.
“Ili kuhakikisha tunaunga mkono juhudi za serikali ni lazima kila mmoja ahakikishe anatimiza majukumu yake bila kusukumwa”,alisisitiza Mhe.Semindu
Sambamba na hayo Mhe.Semindu aliongeza kuwasisitiza walimu kuendelea
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.