• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

BIMA YA AFYA KWA WOTE IWE AJENDA YA KUDUMU KATIKA VIKAO – DC SEMINDU

Posted on: January 5th, 2026



Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Mhe. Michael Semindu, amewaagiza watendaji wote wa Serikali kuhakikisha suala la bima ya afya kwa wote linakuwa agenda ya kudumu katika jamii.

Ameyasema hayo Januari 05, 2026 wakati akifungua mafunzo ya bima ya afya kwa wote yaliyotolewa kwa viongozi wa dini, madiwani na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu.

Mhe. Semindu ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuzindua mpango wa bima ya afya kwa wote mwezi Januari.

“Bima ya afya kwa wote iwe agenda ya kudumu katika vikao vyote vitakavyofanyika, kwa sababu ni moja ya ahadi ambazo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliahidi kutimiza ndani ya siku 100 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” alisema Mhe. Semindu.

“Ili kuunga mkono juhudi za Serikali, tunatakiwa kuhakikisha elimu juu ya umuhimu wa bima ya afya kwa wote inawafikia wananchi wa Mbulu,” aliongeza Mhe. Semindu.

Kwa upande wake, Mratibu wa Bima ya Afya Mkoa wa Manyara, Dkt. Charles Shija, ameeleza kuwa bima ya afya kwa wote itatolewa kwa kaya ikihusisha baba, mama na watoto.

“Serikali imedhamiria kuhakikisha Watanzania wanapata matibabu bila kuumizwa na gharama, ndiyo maana imeanzisha bima ya afya kwa wote itakayogharimu shilingi laki moja na nusu (150,000/=) kwa mwaka mzima,” alisema Dkt. Shija.

Dkt. Shija aliongeza kuwa bima ya afya itatoa nafasi kwa kaya maskini na watu wenye ulemavu.

Mwisho, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Dkt. Adrianus Kalekezi, aliahidi kuendelea kufanya ufuatiliaji ili kuhakikisha elimu juu ya bima ya afya inatolewa kwa wananchi


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • MHE. MICHAEL SEMINDU ASISITIZA UHAMASISHAJI WA MAHUDHURIO SHULENI

    February 20, 2026
  • MADIWANI MBULU TC WAPITISHA BAJETI YA 2026/2027 YA TSH BILIONI 33.2

    February 19, 2026
  • FANYENI MAANDALIZI YA MATIBABU KABLA YA KUKUMBWA NA CHANGAMOTO

    February 17, 2026
  • ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA WANANCHI WA MTAA WA HAYAHAYA-AYAMAAMI

    February 16, 2026
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.