• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

WALIMU WAMETAKIWA KUTOKUWA KIKWAZO CHA WANAFUNZI KURIPOTI SHULENI

Posted on: January 5th, 2026


Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Mhe. Michael Semindu, Januari 05, 2026, alipokutana na Walimu Wakuu wa shule, Maafisa Elimu pamoja na Watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji.


Mhe. Semindu amewaeleza walimu kutowazuia wazazi na walezi kuwapokea wanafunzi shuleni, huku akiwakumbusha walimu kuwapa wazazi na walezi muda wa kukamilisha mahitaji ya wanafunzi.


“Ifikapo Januari 13, 2026, siku ya kufungua shule, wanafunzi wote wapokelewe bila kujali kama wana sare au hawana sare,” alisisitiza Mhe. Semindu.


Mhe. Semindu ameongeza kuwa lengo la Serikali ni kuboresha miundombinu ya elimu ili kuhakikisha Watanzania wote wanapata elimu bora.


Aidha, Mhe. Semindu amewasisitiza walimu wanaotekeleza miradi ya maendeleo kuendelea kuongeza jitihada ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati.


Vilevile, Mhe. Semindu aliwasisitiza walimu kudhibiti utoro wa wanafunzi wawapo shuleni na kuhakikisha wanahudhuria vipindi vyote vya masomo darasani.


Kwa niaba ya walimu

 wengine, Magdalena Haali ameahidi kuyatekeleza maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu ili kutimiza lengo la Serikali.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • MHE. MICHAEL SEMINDU ASISITIZA UHAMASISHAJI WA MAHUDHURIO SHULENI

    February 20, 2026
  • MADIWANI MBULU TC WAPITISHA BAJETI YA 2026/2027 YA TSH BILIONI 33.2

    February 19, 2026
  • FANYENI MAANDALIZI YA MATIBABU KABLA YA KUKUMBWA NA CHANGAMOTO

    February 17, 2026
  • ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA WANANCHI WA MTAA WA HAYAHAYA-AYAMAAMI

    February 16, 2026
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.