


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mhe.Sylvester Ombay ameongoza Mkutano wa Baraza la Madiwani Kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za halmashauri kw kipindi cha robo ya pili ya mwaka fedha 2025/2026.
Lengo la Mkutano wa Baraza la madiwani ni kujua utakelezaji wa shughuli mbalimbali katika Halmashauri
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.