Mh. Sezaria V. Makota Mkuu wa Wilaya ya Mbulu leo tarehe 18/11/2021 amekabidhi mfano wa hundi za mikopo kwa viongozi wa vikundi vya wajasiliamali kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya sherehe za uhuru 2021, yaliyofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Mbulu Mjini. Kauli Mbiu ni MIAKA 60 YA UHURU NA MIAKA 59 YA JAMHURI: TANZANIA YENYE UCHUMI IMARA NA MAENDELEO YA VIWANDA KWA USTAWI WA TAIFA.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.