Halmashauri ya Mji wa Mbulu inajivunia uboreshaji wa miundombinu katika sekta mbalimbali unaofanywa na Serikali ya awamu ya sita ikiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia SSuluhu Hassan
Serikali imetoa kiasi cha Shilingi Milioni 98,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya Walimu 2 in 1 katika shule ya Sekondari Ayamohe
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Bi. Rehema Bwasi ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuboresha mazingira rafiki kwa walimu na wananfunzi katika Sekta ya Elimu na sekta zingine.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.