
Wananchi wa Kijiji cha Kuta kata ya Murray, wamepatiwa elimu ya Umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote ikiwa ni moja ya utekelezaji wa ahadi za serikali ndaani ya siku 100 za Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuingia madarakani.
Wananchi wamepewa elimu ya umuhuhimu wa kuwa na Bima ya Afya hasa wanapokutana na changamoto za kiafya
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.