• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

WANANCHI WA KATA YA NAHASEY WASISITIZWA KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA

Posted on: February 13th, 2026

Wananchi wa Kijiji cha Nahasey leo, Februari 13, 2026, wamepatiwa elimu kuhusu umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote kabla ya kukumbwa na changamoto za kiafya. Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ustawi wa jamii na kupunguza mzigo wa gharama za matibabu kwa wananchi.


Akizungumza katika mkutano huo, Mratibu wa Bima ya Afya, Dkt. Basil Manda, aliwahimiza wananchi kuiona bima ya afya kama kinga na uwekezaji wa maisha yao, badala ya kusubiri kuugua kisha kuanza kutafuta fedha za matibabu. Alieleza kuwa kujiunga na bima mapema kunasaidia familia kupata huduma za afya kwa wakati na kwa gharama nafuu, pamoja na kuondoa usumbufu wa kuchangisha fedha wakati wa dharura.


Dkt. Manda alifafanua kuwa mifumo ya bima ya afya iliyopo imeboreshwa ili kuwafikia wananchi wengi zaidi, hususan wale wa vijijini, na kwamba Serikali inaendelea kuweka mazingira rafiki ya upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wote.



Kwa upande wake, Afisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Ndugu Tomic Simbeye, aliwasisitiza wananchi kuwa mabalozi wa elimu hiyo ndani ya kaya zao na kuwahamasisha wengine kujiunga, ili kuhakikisha jamii inakuwa na ulinzi wa afya kwa pamoja.



Wananchi walishukuru kwa elimu waliyoipata, wakieleza kuwa imewafungua macho kuhusu faida za bima ya afya. Baadhi yao waliahidi kuanza mchakato wa kujiunga mara moja na kuwahamasisha ndugu na majirani zao kufanya vivyo hivyo.



Mafunzo hayo ni sehemu ya kampeni endelevu ya utoaji elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa lengo la kuongeza idadi ya wanachama na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya huduma bora za afya bila vikwazo vya kifedha.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WANANCHI WA KATA YA NAHASEY WASISITIZWA KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA

    February 13, 2026
  • MADIWANI WAMETAKIWA KUJIKITA KATIKA UTATUZI WA KERO ZA WANANCHI KATIKA KATA.

    February 12, 2026
  • MAFUNZO ELEKEZI YA MADIWANI WA WILAYA YA MBULU

    February 11, 2026
  • ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE YATOLEWA KWA WANANCHI

    February 10, 2026
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.