



Matukio katika picha ni Mafunzo ya Madiwani wa Wilaya ya Mbulu yanayofanyika kwa siku mbili, kuanzia Februari 11 hadi 12, 2026.
Mafunzo hayo yamewahusisha Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, yakilenga kuwaimarisha katika misingi ya uongozi na utawala bora ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya uwakilishi na usimamizi wa maendeleo ya wananchi.
Mafunzo hayo yametolewa na Wakufunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kilichopo mkoani Dodoma, kwa lengo la kuwajengea uwezo madiwani katika masuala ya kiutawala, kisheria na kimaadil
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.