Usafirishaji ni moja ya shughuli zinazofanyika Halmashauri ya Mji wa Mbulu kwenye maeneo mbali mbali ikiwa ni usafiri wa barabara za ndani na nje ya Halmashauri.