Ofisi ya Rais Tamisemi imeitunuku Halmashauri ya mji wa Mbulu Tuzo ya pongezi kwa kufikia kigezo kilichokubalika (KPI) cha Ufaulu wa mitihani wa Taifa wa kidato cha Nne 2024.
Halmashauri ya Mji wa Mbulu ni miongoni mwa Halmashauri kumi(10) ambazo zimefikia kiwango cha juu cha KPI kwa Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 ikiwa na 67.34% ambapo ndiyo Halmashauri ya Kwanza Kitaifa.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.