ZIARA YA Bi. KAROLINE ALBERT MTHAPULA KATIBU TAWALA MKOA WA MANYARA PAMOJA NA Ndg. YEFRED MYENZI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MBULU YA UKAGUZI WA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA YA UVIKO 19 HALMASHAURI YA MJI WA MBULU.
Halmashauri ya Mji wa Mbulu ni moja ya Halmashauri nchini zilizopokea fedha za maendeleo za UVICO 19 na kutakiwa kujenga vyumba vya madarasa 28 kwa shule za Msingi na Sekondari. Katika ziara hiyo Katibu Tawala Mkoa wa Manyara alipongeza kamati ya usimamizi ya Halamashauri kwa hatua iliyofikia ya usimamizi na kuisisitiza kamati kuhakikisha miradi yote hiyo inakamirika tarehe 15 Decemba 2021 kama ilivyoelekezwa na Mhe. Ummy Ally Mwalimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.