Mh Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Eng.Kundo A. Mathew Amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu Kuhakiki Hali ya Mawasiliano. Ambapo alipata nafasi ya kutembelea minara ya mawasiliano Iliyopo Katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu. Moja ya minara iliyotembelewa ni mnara wa Mawasiliano wa Kampuni la Simu za TTCL uliopo Kata ya Kainam.
Ujenzi
Anuani: P.O Box 164 Mbulu
Simu: +255 272 2533331
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: td@mbulutc.go.tz
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.