8/7/2024
Mwenyekiti wa Halmashuri ya Mji Wa Mbulu Mh Peter Sulle
Amemshukuru Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr Samia Suluh Hassan ,Kwa Kuonesha Upendo Kwa Wananchi wa Halmashauri ya Mji Mbulu
" Fedha za Maendeleo Zinazokuja Halmashauri ya Mji Mbulu ,Tunatosha Kusema Asante Mama"
Alisema Mwenyekiti Alipokuwa anatoa Shukrani Wakati wa Ziara ya Naibu Katibu Mkuu Afya , Dr Wilson Mahela .
Alipokuwa Anatembelea Kituo Cha Afya Kainam Halmashauri ya Mji Mbulu.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.