• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

WAZEE MBULU TC KUANDALIWA VITAMBULISHO VYA MSAMAHA ILI WAPATE MATIBABU BURE

Posted on: November 11th, 2024

Maandalizi ya Vitambulisho vya Msamaha kwa Wazee vitakavyowasaidia kupata matibabu bure yanaendelea katika Kata ya Ayamohe na Uhuru Halmashauri ya Mji wa Mbulu.

Kufuatia mwendelezo huo, Afisa Ustawi wa Jamii Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Tomic Simbeye amezungumza na Wazee zaidi ya 100 waliofika kwenye Kata hizo kujiandikisha na kupiga picha kwa ajili ya Vitambulisho hivyo.

“Zoezi hili litawasaidia ninyi wazee wetu kupata Vitambulisho ambavyo vitawasaidia mpate matibabu kwa msamaha wa Serikali yaani mtatibiwa bure malipo malipo mkiwa na hivi vitambulisho” Aliongeza Simbeye
Kwa upande wa wazee waliofika kupiga picha na kujiandikisha wamesema kwa kuwa uwezo wao wa kulipa gharama za matibabu ni mdogo na wengine kushindwa kabisa, Vitambulisho hivyo vitawasaidia kupata matibabu na kuwa na Afya imara huku wakiishukuru Serikali kwa mipango hiyo saidizi kwa Wazee.

Zoezi hilo litaendelea kwa kuchukua taarifa na picha za Wazee hao katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Mji wa Mbulu mpaka tarehe 23 Novemba, 2024.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WASIMAMIZI WA VITUO JIMBO LA MBULU MJINI WAPATIWA MAFUNZO

    October 26, 2025
  • MAKARANI WAONGOZAJI 274 WAPATIWA MAFUNZO JIMBO LA MBULU MJINI

    October 25, 2025
  • VIONGOZI WA DINI MBULU WAOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    October 24, 2025
  • DC SEMINDU AWASISITIZA WATENDAJI KUENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE.

    October 21, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.