• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani
    • Peter Martin Sulle - Sanubaray
    • Alexander Amnaay Tango - Gehandu
    • Ally Akonaay Baha - Ayamohe
    • Anthon John Genda - Tlawi
    • Asia Shabani Amnaay - Bargish
    • Augustino Nade Panga - Nahasey
    • Basili Boay Gwawu - Imboru
    • Bayi Agustino Agapius - Endagikot
    • Emanuel Severino Malle - Kainam
    • Emanuel Akonaay Bura - Murray
    • Juliana Deengw Musso - Gunyoda
    • Kastuli John Umbe - Marang
    • Michael Safari Ami - Nambis
    • Mwajuma Athumani Kabuga - Uhuru
    • Peter Evaristi Golis - Daudi
    • Umbu Margwe Mayo - Ayamaami
    • Vita Kalamu Gilaksa - Silaloda
    • Anna Athanasi Hhayuma - Viti Maalum
    • Bernadetha Andrea Tsere - Viti Maalum

WANANCHI KATA YA IMBORU WAPATIWA ELIMU JAMII.

Posted on: June 9th, 2025

Katika mwendelezo wa juhudi za kuwafikia wananchi kupitia elimu ya jamii, leo juni 09,2025  Kata ya Imboru imepata fursa ya kupata elimu kutoka katik kitengo cha Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Idara ya Maendeleo ya Jamii ya Halmashauri ya Mji wa Mbulu.


Akizungumza na Wananchi wa  Kata ya Imboru Ndugu. Tomic Simbeye ameeleza kuwa Mafunzo hayo yamekuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa jamii.


“Elimu zote zinazotolewa kwa jamii zinalenga kupinga ukatili wa kijinsia, kupunguza au kutokomeza kabisa mimba za utotoni, kuhakikisha jamii nzima inaishi katika haki na usawa n.k.” Alisema Ndugu. Simbeye


Sambamba na hayo Ndugu. Simbeye alieleza kuwa kuelekea siku ya mtoto wa Afrika wazazi na walezi wanalo jukumu la kuhakikisha watoto wanalelewa katika malezi bora kwa kuzingatia haki na usawa.


Kwa upande wake Mratibu wa Dawati la msaada wa kisheria wa Mama samia(Mama Samia legal aid compaign) amewasisitiza Wananchi wote kuendelea kushirikiana ili kutatua migogoro iliyopo katika jamii ili kutimiza adhma ya serikali ya kuhakikisha Wananchi wote wanadumisha amani, upendo na utulivu.

Matangazo

  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA AFYA KWA MTOTO June 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • NJIA YA KUWASILISHA MALALAMIKO KUPITIA eMREJESHO December 16, 2024
  • Ona zote

Habari mpya

  • WATUMISHI MBULU TC WAPATIWA MAFUNZO YA E-UTENDAJI.

    June 11, 2025
  • WANANCHI WA KATA YA IMBORU WAPATIWA ELIMU JAMII KUHUSU MAISHA YA KILA SIKU

    June 09, 2025
  • WANANCHI KATA YA IMBORU WAPATIWA ELIMU JAMII.

    June 09, 2025
  • MASHINDANO YA UMISSETA NA UMISHUMTA YAZINDULIWA RASMI MKOANI IRINGA.

    June 09, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.