• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Human Resource and Administration
      • Finance and Accounts
      • Secondary Education
      • Primary Education
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Internal Audit
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKAOSHINDWA KUTEKELEZA UJENZI WA MIRADI YA AFYA KUCHUKULIWA HATUA

Posted on: September 8th, 2023

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema hatosita kumchukulia hatua Mkurugenzi yeyote wa Halmashauri ambaye atabainika kushindwa kutekeleza kikamilifu ujenzi wa miradi ya miundombinu ya afya ili kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.


Mhe. Mhechengerwa amesema hayo leo wakati wa kikao kazi na watumishi wa Idara ya Afya, ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais-TAMISEMI kilicholenga kujadili utekelezaji wa majukumu ya idara hiyo pamoja na kuhimiza uwajibikaji.


Mhe. Mchengerwa amemuagiza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwataka Wakurugenzi wote wa Halmashauri kujipanga kikamilifu  kusimamia utekelezaji wa  miradi ya ujenzi wa miundombinu ya afya kwa wakati.


Mhe. Mchengerwa amesema kuwa, kama kuna halmashauri imepelekewa fedha na kubainika kushindwa kukamilisha kikamilifu ujenzi wa miradi ya miundombinu ya afya, hatosita kumsimamisha kazi ili kupisha uchunguzi.


“Nipatieni orodha ya wote walioshindwa kukamilisha miradi, wabadhilifu wa fedha za miradi, waliojenga chini ya kiwango na wale ambao wamepelewa fedha lakini bado zipo kwenye akaunti ili niwachukulie hatua za kinidhamu bila kuchelewa,” Mhe. Mchengerwa amesisitiza.


Mhe. Mchengerwa amewahimiza watendaji wanaosimamia ujenzi wa miradi ya miundombinu ya afya kufanya kazi kwa bidii na weledi kwani haofii kuchukiwa na wale atakaowawajibisha kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo.


Aidha, Mhe. Mchengerwa amewataka watendaji wa ofisi yake kushirikiana na wawakilishi wa wananchi katika kubaini maeneo ya kujenga miradi ya miundombinu ya afya kulingana na uhitaji. 


Kwa upande wake, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Ndugange amemhadi Mhe. Mchengerwa kuwa, Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe haitomuangusha  katika kutekeleza majukumu yake na maelekezo yote aliyoyatoa katika kikao kazi hicho.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT),2022 YATANGAZWA January 29, 2023
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2023 YATANGAZWA November 23, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI III JOPO LA TATU 17/07/22 July 17, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022 YATANGAZWA January 04, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MBULU AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA SABA 2023

    September 12, 2023
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MBULU AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA SABA 2023

    September 12, 2023
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKAOSHINDWA KUTEKELEZA UJENZI WA MIRADI YA AFYA KUCHUKULIWA HATUA

    September 08, 2023
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKAOSHINDWA KUTEKELEZA UJENZI WA MIRADI YA AFYA KUCHUKULIWA HATUA

    September 08, 2023
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ujenzi

    Anuani: P.O Box 164 Mbulu

    Simu: +255 272 2533331

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: td@mbulutc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.