• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

VIJANA WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO

Posted on: February 14th, 2026



Afisa Vijana, Ndugu Kassim Toto, Februari 14, 2026, amekutana na Maafisa Usafirishaji wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu na kuwahimiza kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na kujituma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku, sambamba na kuwa chachu ya kuwahamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo.


Katika kikao hicho, alisisitiza umuhimu wa kushirikiana na Maafisa Maendeleo ya Jamii ili kupata mwongozo sahihi kuhusu taratibu za kuomba mikopo ya vijana, akieleza kuwa mikopo hiyo ni nyenzo muhimu ya kuwawezesha vijana kujiajiri, kupunguza ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa familia na jamii.

Aidha, Ndugu Toto aliwahimiza vijana kutumia ubunifu, nidhamu na mshikamano katika kuanzisha na kuendesha miradi ya uzalishaji mali, pamoja na kuzingatia uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali wanazopata ili kuhakikisha miradi yao inakuwa endelevu.


Ameongeza kuwa ushirikiano mzuri kati ya maafisa wa sekta mbalimbali ni muhimu katika kuhakikisha vijana wanapata taarifa sahihi, wanajengewa uwezo na wanapata fursa za kujikwamua kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa.


Kwa upande wao, Maafisa Usafirishaji walipatiwa elimu kuhusu umuhimu wa kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kupunguza ajali na kulinda maisha ya watumiaji wa barabara, huku wakihimizwa kuwa mabalozi wa usalama huo katika maeneo yao ya kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • VIJANA WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO

    February 14, 2026
  • ELIMU YA BIMA YA AFYA YA TOLEWA KWA WANANCHI WA ENDAMAKSI NA MAHERI

    February 14, 2026
  • WANANCHI WA KATA YA NAHASEY WASISITIZWA KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA

    February 13, 2026
  • MADIWANI WAMETAKIWA KUJIKITA KATIKA UTATUZI WA KERO ZA WANANCHI KATIKA KATA.

    February 12, 2026
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.