" Furaha ya Kiongozi kwa Mtoto "Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Mbulu Rehema Bwasi Akifurahi kwa Kupiga Picha na Mmoja ya Watoto ,waliopata Chanjo Leo Tarehe 15/2/2024 Katika Uzinduzi wa Utoaji wa Chanjo ya Polio Rubela ,
Chanjo iliyoanza Kutolewa Leo Tarehe 15/2/2024 Nchi Nzima Ambapo Katika Halmashauri ya Mji Mbulu Chanjo Hiyo Imezinduliwa Katika Hospital ya Halmashauri ya Mji wa Mbulu.
Ujenzi
Anuani: P.O Box 164 Mbulu
Simu: +255 272 2533331
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: td@mbulutc.go.tz
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.