Mashindano hayo ambayo yanafanyika kila mwaka yanaratibiwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI ikishirikiana na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Kwa miaka mitatu mfululizo iliyopita tangu 2022, mashindano ya UMITASHUMTA & UMISSETA yalifanyika Mkoani Tabora, na mwaka huu yanafanyika Mkoani Iringa yakitarajiwa kuhusisha wanamichezo zaidi ya 7,000 kutoka Tanzania Bara na zanzibar.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.