• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

TWENDE TUKAJIANDIKISHE TUPATE HAKI YA KUPIGA KURA-MHE. KESSY

Posted on: October 11th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mhe. Veronica Kessy amewasihi wananchi wote wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu kujitokeza kujiandikisha kwenye orodha ya Wapiga kura wa Serikali za Mitaa ili waweze kushiriki zoezi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba 2024.

Mhe. Kessy ametoa rai hiyo mapema leo wakati akizindua zoezi hilo akiwa Kijiji cha Moringe Kata ya Daudi ambapo amesema kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kufika kwenye vituo vya kujiandikishia kwani kufanya hivyo watakuwa wametimiza wajibu wao wa Kidemokrasia wa kushiriki Uchaguzi na kupata viongozi wenye maono

"Niwaombe wananchi, kila mmoja mwenye sifa ya kupiga kura ahakikishe anajiandikisha kwenye orodha ili awe na haki ya kuchagua kiongozi na kuchaguliwa kuwa kiongozi ifikapo tarehe 27 Novemba 2024".
Zoezi la uandikishaji wapiga kwa ajili ya uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji limeanza rasmi leo Oktoba 11, 2024 na litafungwa tarehe 20 Oktoba 2024.
"Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA AFYA KWA MTOTO June 01, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WATAALAMU WA AFYA WAMETAKIWA KUZINGATIA TARATIBU KUWAHUDUMIA WATOTO NJITI.

    July 29, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2O25 WARIDHISHWA NA MRADI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO MBULU TC

    July 16, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KUTEMBELEA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 44.3 WILAYANI MBULU

    July 16, 2025
  • WANANCHI WASISITIZWA KUWA MSTARI WA MBELE UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

    July 10, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.