• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani
    • Peter Martin Sulle - Sanubaray
    • Alexander Amnaay Tango - Gehandu
    • Ally Akonaay Baha - Ayamohe
    • Anthon John Genda - Tlawi
    • Asia Shabani Amnaay - Bargish
    • Augustino Nade Panga - Nahasey
    • Basili Boay Gwawu - Imboru
    • Bayi Agustino Agapius - Endagikot
    • Emanuel Severino Malle - Kainam
    • Emanuel Akonaay Bura - Murray
    • Juliana Deengw Musso - Gunyoda
    • Kastuli John Umbe - Marang
    • Michael Safari Ami - Nambis
    • Mwajuma Athumani Kabuga - Uhuru
    • Peter Evaristi Golis - Daudi
    • Umbu Margwe Mayo - Ayamaami
    • Vita Kalamu Gilaksa - Silaloda
    • Anna Athanasi Hhayuma - Viti Maalum
    • Bernadetha Andrea Tsere - Viti Maalum

Shule za Sekondari 234 kujengwa majimbo yote nchini

Posted on: December 1st, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema  serikali  imepeleka Sh bilioni 109 kwa ajili ya kujega shule 234 zitakazojengwa kwenye majimbo yote 214.Ameyasema hayo wakati wa kuelezea mwelekeo wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa baada ya ya kuelezea mafanikio ya miaka 60 ya uhuru, jijini Dodoma.Waziri Ummy amesema shule hizo ni miongoni mwa shule 1,000 ambazo zimepangwa kujengwa katika kata zisizo na shule za sekondari na zenye msongamano mkubwa wa wanafunzi kutokana na fedha za mkopo nafuu wa Sh trilioni 1.5.Ameendelea kufafanua kuwa fedha hizo zimepagwa kujenga shule 234 za kata katika majimbo yote 214 na shule 20 kwenye Halmashauri ambazo zina shule zenye uwiano mkubwa wa wanafunzi darasani.Ummy alisema kila shule itagharimu Sh milioni 600 na kwa  kuwanzia zimepelekewa Sh milioni 470 kila shule.“ Nitumie fursa kuelekeza kuwa fedha hizi zitumike kuanza ujenzi wa madarasa 8, vyumba vitatu vya maabara ya masomo ya sayansi na matundu ya vyoo.”Kuhusu shule za sayansi za wasichana kila Mkoa, Waziri Ummy amesema Ofisi ya Rais-TAMISEMI imepeleka Sh bilioni 30 kwa ajili ya kujenga shule 10 za wasichana.Aidha , ameitaja Mikoa ambayo inatanguliwa kupata shule hizo kati ya mikoa 26 ni Dar es salaam, Kagera, Lindi, Pwani, Ruvuma, Shinyanga, Singida, Songwe, Tanga na Mwanza ambapo kila shule itagharimu Sh bilioni 3.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA AFYA KWA MTOTO June 01, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WANANCHI WASISITIZWA KUWA MSTARI WA MBELE UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

    July 10, 2025
  • WATENDAJI WAHIMIZA KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA CHAKULA SHULENI KWA WANAFUNZI.

    July 08, 2025
  • SENDIGA ARIDHIA MIRADI NANE(8) KUPITIWA NA MWENGE WA UHURU MBULU TC.

    July 04, 2025
  • VIONGOZI WA NGAZI ZOTE MBULU TC WAMAETAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA UTOAJI WA TAARIFA ZA VITENDO VYA UKATILI

    June 30, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.