• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

Rais Magufuli Afungua Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura Kitaifa

Posted on: October 8th, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amefungua rasmi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24 zoezi ambalo linaloanza leo tarehe 08/10/2019 hadi 14/10/2019 na kuwataka wasimamizi kutenda haki ili uchaguzi uwe wa haki na kidemokrasia.

Rais Magufuli ametoa kauli baada ya kufungua zoezi la uandikishaji katika kituo kilichopo kwenye hospitali mpya ya wilaya ya Nkasi na kujionea namna zoezi hilo linavyofanyika mbele ya mawakala wa vyama vya siasa hali Afisa Mwandikishaji wapiga kura akifuata Mwongozo, Sheria, Kanuni na Taratibu za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za mwaka 2019

“Mimi nawapongeza  endeleeni  kusimamia zoezi hili wasimamizi hakikisheni mnatenda haki kwa mtende haki kwa watanzania wote wote bila kubagua vyama vyao kwa sababu uchaguzi huu ni wa kidemokrasia ili tuhakikishe watu wapate ule uhuru wao wa  kumchagua mtu wanayemtaka katika Viongozi wa Serikali za Mitaa”

Awali Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo alitoa maelezo ya awali kwa kutoa wito kwa watanzania wote kujitokeza ndani ya wiki moja iliyotengwa na kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili wapate sifa ya kupiga kura mnamo Novemba 24, 2019 kwani ndiyo njia pekee ya kuimarisha utawala wa Serikali za Mitaa usiokithiri mianya ya rushwa na kuibua migogoro miongoni mwa jamii.

Naye Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kange Ligola akitoa maelezo ya awali katika viwanja vya Namanyere amewataka wananchi kuchagua Viongozi wacha Mungu na wanaozingatia haki kwani kwa hivi sasa migogoro mingi ya ardhi na makosa mbalimbali yaliyopo katika Serikali za Mitaa yanatokana na viongozi waliochaguliwa ambao hawafuati sheria na kutozingatia maadili ya viongozi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WASIMAMIZI WA VITUO WASISITIZWA KUVIISHI VIAPO

    October 27, 2025
  • WASIMAMIZI WA VITUO JIMBO LA MBULU MJINI WAPATIWA MAFUNZO

    October 26, 2025
  • MAKARANI WAONGOZAJI 274 WAPATIWA MAFUNZO JIMBO LA MBULU MJINI

    October 25, 2025
  • VIONGOZI WA DINI MBULU WAOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    October 24, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.