Mhe. Mkuu wa wilaya ya Mbulu Chelestino Simbalimile Mofuga apongeza Madiwani, Watumishi na Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Mbili kwa kufanya vizuri kwenye shughuli za Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2019 kwa kushika nafasi ya pili (02) kimkoa na nafasi ya kumi na moja (11) kwa kanda.
Akitoa salamu za serikali kwenye Baraza la madiwani la Halmashauri ya Mji wa Mbulu amesema Kazi waliyoifanya mwaka jana ya kuupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka 2019 na kwamba waongeze juhudi zaidi ili mwaka huu wa 2020 Halmashauri ifanye vizuri zaidi.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.