Makabidhiano ya Ofisi kati ya Mkurugenzi wateuli Ndg. Yefred Myenzi na Bi. Anna P. Mbogo
Posted on: August 6th, 2021
Makabidhiano ya Ofisi ya Halmashauri ya Mji kati ya Mkurugenzi wateuli Mpya Ndg. Yefred Myenzi na Bi. Anna P. Mbogo aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Babati.