Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluh Hassan ,Amefanya Mabadiliko ya wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya ,Tarehe 12 Desemba 2023 ,Akiwa Amemuhamisha Bi Rehema Bwasi Kutoka Halmashauri ýa Wilaya Malinyi Mkoani Morogoro, na Kumuhamishia Halmashauri ya Mji Mbulu Mkoani Manyara,Vile Vile Amemuhamishia Kituo Kingine Yefred Myenzi ,Aliyekuwa Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Mbulu Kwenda Halmashauri ya Mji Geita Mkoani Geita.. Kwaheri Yefred Myenzi , Tunakutakia Kazi Njema Katika Utumishi wako Halmashauri ya Mji Geita
# Kwa pamoja tunaijenga mbulu yetu
Ujenzi
Anuani: P.O Box 164 Mbulu
Simu: +255 272 2533331
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: td@mbulutc.go.tz
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.