Halmashauri ya Mji wa Mbulu ni moja ya Halmashauri saba (7) zinazopatikana Mkoa wa Manyara yenye kivutio pekee kizuri cha maporomoko ya Maji ya Hhyanu
Maporomoko haya ya Maji yapo juu ya miamba ya Mawe na unaweza kutazama vizuri ukiwa upande wa kushoto au kulia na kuelekea katikati ya miamba iliyojitengeneza kama Daraja ukaweza kupiga picha nzuri kabisa
Karibu Mbulu Mji kwa utalii huu wa maporomoko ya Maji msimu wote wa mwaka
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.