• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Human Resource and Administration
      • Finance and Accounts
      • Secondary Education
      • Primary Education
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Internal Audit
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

KAIRUKI: AAGIZA MAAFISA ELIMU MAALUM KUHAKIKISHA WANAWABAINI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Posted on: December 13th, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Angellah Kairuki amewaagiza Maafisa elimu Maalum wote nchini kuhakikisha wanasimamia zoezi la uchunguzi wa awali wa watoto ili kubaini watoto wenye mahitaji maalum katika jamii.

Ameyasema hayo leo tarehe 12 Disemba, 2022 wakati akifungua  mafunzo kwa maafisa elimu watu Wazima na maafisa elimu Maalum  iliyofanyika  katika ukumbi wa chuo cha Ualimu Patandi, Mkoani Arusha.

Amewataka kuhakikisha wanatumia vituo vya uchunguzi (Education Support Resource Assessment Centre) na kuwaelekeza watoto wenye mahitaji maalum katika shule stahiki ambazo wanapaswa kupelekwa ili wapate afua stahiki

Waziri Kairuki ameelekeza shughuli za usimamizi na uendeshaji wa elimu zihusishe  kikamilifu  masuala ya elimu maalumu  na elimu ya watu wazima kwa kuhakikisha wanashirikiana  na viongozi katika jamii katika kuratibu  shughuli za elimu ya watu wazima na elimu Maalum katika shule za msingi  na Sekondari

Ametoa rai kwa Maafisa hao kuweka utaratibu wa kupokea wanafunzi wenye mahitaji maalum  wa kidato cha kwanza, darasa la kwanza na awali kwa mwaka 2023 kwa kushirikiana  na viongozi katika maeneo yao ili kuweka mazingira bora kwa wanafunzi hao

Waziri Kairuki amewataka viongozi wa elimu  katika ngazi ya shule, Kata, Halmashauri na Mikoa kufuatilia ufundishaji na ujifunzaji shuleni na kushirikiana na walimu katika kuhakikisha wanafunzi wanapata umahiri uliokusudiwa badala ya kukaa ofisini.

Aidha,ameagiza kila mwalimu lijiwekea  malengo binafsi katika masomo anayofundisha na kuhakikisha hakuna mwanafunzi  anayeshindwa  kupata umahiri uliokusudiwa  katika somo lake ifikapo mwishoni mwa kila mwaka

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT),2022 YATANGAZWA January 29, 2023
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2023 YATANGAZWA November 23, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI III JOPO LA TATU 17/07/22 July 17, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022 YATANGAZWA January 04, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MBULU AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA SABA 2023

    September 12, 2023
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MBULU AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA SABA 2023

    September 12, 2023
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKAOSHINDWA KUTEKELEZA UJENZI WA MIRADI YA AFYA KUCHUKULIWA HATUA

    September 08, 2023
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKAOSHINDWA KUTEKELEZA UJENZI WA MIRADI YA AFYA KUCHUKULIWA HATUA

    September 08, 2023
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ujenzi

    Anuani: P.O Box 164 Mbulu

    Simu: +255 272 2533331

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: td@mbulutc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.