HABARI KATIKA PICHA:



Ni zoezi la utoaji wa elimu kuhusu Bima ya Afya kwa Wote lililotolewa leo, Februari 14, 2026, kwa wananchi wa Kijiji cha Maheri, Kata ya Murray pamoja na wakazi wa Mtaa wa Endamaksi, Kata ya Endagkot, likilenga kuhamasisha jamii kujiunga na huduma hiyo muhimu kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma za afya na kupunguza gharama za matibabu.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.