• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani
    • Peter Martin Sulle - Sanubaray
    • Alexander Amnaay Tango - Gehandu
    • Ally Akonaay Baha - Ayamohe
    • Anthon John Genda - Tlawi
    • Asia Shabani Amnaay - Bargish
    • Augustino Nade Panga - Nahasey
    • Basili Boay Gwawu - Imboru
    • Bayi Agustino Agapius - Endagikot
    • Emanuel Severino Malle - Kainam
    • Emanuel Akonaay Bura - Murray
    • Juliana Deengw Musso - Gunyoda
    • Kastuli John Umbe - Marang
    • Michael Safari Ami - Nambis
    • Mwajuma Athumani Kabuga - Uhuru
    • Peter Evaristi Golis - Daudi
    • Umbu Margwe Mayo - Ayamaami
    • Vita Kalamu Gilaksa - Silaloda
    • Anna Athanasi Hhayuma - Viti Maalum
    • Bernadetha Andrea Tsere - Viti Maalum

Bashunga aahidi kusimamia uwekaji wa mazingira wezeshi kwa Wafanyabiashara

Posted on: June 11th, 2022

OR - TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amemuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa ofisi yake itaendelea kusimamia uwekaji wa mazingira wezeshi ya kufanyia biashara na uwekezaji katika Sekretariti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kustawisha uwekezaji.

Waziri Bashungwa alimuhakikia Mhe. Rais wakati akitoa salamu Juni 9, 2022 kwa niaba ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI katika mkutano wa hadhara wa Mhe. Rais na wananchi katika uwanja wa Kaitaba Mkoani Kagera.

”Mhe. Rais nikuhakikishie tutaendelea kushirikiana na viongozi wenzangu hutasikia Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Wakurugenzi baada ya maelekezo ambayo umeyatoa kuhusu suala la uwekaji wa mazingira ya biashara kuwa wezeshi kwa nchi yetu kwenda kinyume na ulivyoelekeza,” amesema Waziri

Bashungwa amesema, wataendelea kufuata utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kushirikiana na sekta binafsi ili kuajiri vijana wengi na akina mama nchini waweze kujenga uchumi.

“Mhe. Rais tunaamini uwekezaji wowote ule unaanzia ngazi ya mtaa na kijiji na tupo tayari kutekeleza maelekezo yako," ” amesema Mhe.Bashungwa

Wakati huo huo Waziri Bashungwa amemuhakikishia Mhe. Samia Suluhu Hassan kutekelezwa kwa maelekezo na maagizo yote aliyoyatoa wakati wa ziara yake Mkoani Kagera.

Pia amesema  atawaelekeza Wakuu wa Mkoa wa Kagera, Kigoma, Katavi, Tabora na Pwani kubainisha maeneo ya ardhi kwa ajili ya kilimo ifikapo tarehe 30, 2022 kama alivyoagiza Rais Samia Suhuhu Hassan.

Amefafanua maeneo hayo yawe yameshabainishwa kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uwekezaji kuhakikisha maeneo hayo yamepatikana kwa ajili ya kuanzisha kilimo ambapo malengo ya nchi ni kujitosheleza katika mfuta ya kula.

Awali, Mhe. Rais wakati akiendelea na ziara yake Mkoa wa Kagera Juni 9, 2022 alielekeza kuwekwe mazingira mazuri ya uwekezaji na biashara.

Amesema, Mkoa wa Kagera una fursa kubwa ya kiuchumi na biashara  kwa sababu unapakana na nchi ya Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo leo Juni, 10 2022 anatarajiwa kufungua msikiti mkubwa mkoani Kagera.

Matangazo

  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA AFYA KWA MTOTO June 01, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA June 02, 2025
  • NJIA YA KUWASILISHA MALALAMIKO KUPITIA eMREJESHO December 16, 2024
  • Ona zote

Habari mpya

  • UMITASHUMTA NA UMISETA KURINDIMA IRINGA 2025

    June 02, 2025
  • WATUMISHI AJIRA MPYA MBULU TC WAPATIWA MAFUNZO YA PSSSF

    May 29, 2025
  • MBULU TC YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    May 28, 2025
  • MBULU MJI TUNAJIVUNIA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU-DT REHEMA BWASI

    May 27, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.