• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

AGIZO: Halmashauri 31 Zihamishe Ofisi zao Kwenda Maeneo yao ya Utawala

Posted on: October 7th, 2019

Serikali imeziagiza Halmashauri 31 ambazo ofisi zao zipo nje ya maeneo yao ya utawala kuhamisha ofisi kwenda kwenye maeneo yao ya utawala ndani ya siku 30 kuanzia tarehe 07 Oktoba, 2019.

Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo wakati akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Sumbawanga na wanahabari mjini Sumbawanga baada ya kupokea maelekezo ya Waziri Mwenye Dhamana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye alibaini kuwa halmashauri nyingi hazifanyi kazi katika maeneo yao ya utawala na hivyo kupelekea utoaji wa huduma za kusua sua kwa wananchi na kurudisha nyuma maendeleo na mipango ya Serikali.

Waziri Jafo amezitaja halmashauri hizo kuwa ni pamoja na Halmashauri ya Wilaya Arusha, Halmashauri ya Wilaya Kondoa, Halmashauri ya Wilaya Geita, Halmashauri ya Wilaya Iringa, Halmashauri ya Wilaya Mufindi, Halmashauri ya Wilaya Bukoba, Halmashauri ya Wilaya Mpanda, Halmashauri ya Wilaya kasulu, Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Halmashauri ya Wilaya Moshi, Halmashauri ya Wilaya Lindi, Halmashauri ya Wilaya Babati, Halmashauri ya Wilaya Mbulu, Halmashauri ya Wilaya Musoma, Halmashauri ya Wilaya Bunda na Halmashauri ya Wilaya Tarime.

Halmashauri nyingine ni pamoja na Halmashauri ya Wilaya Mbeya, Halmashauri ya Wilaya Kilombero, Halmashauri ya Wilaya Mtwara, Halmashauri ya Wilaya Masasi, Halmashauri ya Wilaya Newala, Halmashauri ya Wilaya Njombe, Halmashauri ya Wilaya Kibaha, Halmashauri ya Wilaya Sumbawanga, Halmashauri ya Wilaya Mbinga, Halmashauri ya Wilaya Shinyanga, Halmashauri ya Wilaya Bariadi, Halmashauri ya Wilaya Singida, Halmashauri ya Wilaya Nzega, Halmashauri ya Wilaya Korogwe na Halmashauri ya Wilaya Handeni.

Awali Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alitoa mwezi mmoja kwa watendaji wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kuhamia kwenye Mji mdogo wa Laela  ambao umejenga makao yake makuu katika Manispaa ya Sumbawanga wakati lengo la kuanzisha Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga lilikuwa ni kusogeza huduma kwa wananchi lakini mpaka sasa hawajahamisha ofisi zao kwenda katika eneo lao la utawala ambalo ni Mji mdogo wa Laela

Mhe. Magufuli alisema Mkurugenzi wa Halmashauri anatembea kilomita takribani 95 kwenda na kurudi ili awahudumie wananchi wakati kama angekuwepo karibu na wananchi adha zote wanazopata wananchi huduma kufuata huduma zisingekuwepo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • TIMU YA WATAALAMU(CMT) YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI

    October 18, 2025
  • WATANZANIA WAMETAKIWA KUILINDA AMANI

    October 14, 2025
  • HATI MILIKI 48 ZA ARDHI ZATOLEWA KWA WANANCHI MBULU MJINI.

    October 09, 2025
  • CHMT MBULU WAMETAKIWA KUIMARISHA USHIRIKIANO ILI KUTOA HUDUMA BORA.

    October 09, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Tamisemi
  • Ikulu
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Mbulu Tc Facebook
  • Mbulu Town Council WatsApp
  • Mbulu Tc Instagram

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.