https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/index.htm
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YATANGAZWA SHULE ZA SERIKALI ZANG'ARA....
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha 6 hizi ndio Shule 10 zilizoongoza kwa kufaulu Mtihani wa form six nchini Tanzania mwaka 2022:
10. Ziba, Tabora - Shule ya Serikali
9. Mkindi, Tanga - Shule ya Serikali
8. Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
7. Nyaishozi Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi
6. Dareda Sekondari Manyara - Shule ya Serikali
5. Ahmes Sekondari Pwani - Shule ya Binafsi
4. Tabora Girls Tabora - Shule ya Serikali 3. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali. 1. Kemebos Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi.
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.