“Kutokana na hali ya Ugonjwa wa Corona nchini kuendelea vizuri na kwa kweli imepungua sana, napenda nitumie nafasi hii kutangaza kwamba tarehe 29 Juni, 2020 Jumatatu, shule zote zifunguliwe zilizokuwa zimebaki” Rais Magufuli ametoa tamko hili leo Juni 16, wakati akihutubia bunge la 11 jijini Dodoma.
Ujenzi
Anuani: P.O Box 164 Mbulu
Simu: +255 272 2533331
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: td@mbulutc.go.tz
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.