• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Biashara Viwanda na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA MANUNUZI
      • FEDHA NA UHASIBU
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UHIFADHI WA MALIASILI NA MAZINGIRA
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani
    • Peter Martin Sulle - Sanubaray
    • Alexander Amnaay Tango - Gehandu
    • Ally Akonaay Baha - Ayamohe
    • Anthon John Genda - Tlawi
    • Asia Shabani Amnaay - Bargish
    • Augustino Nade Panga - Nahasey
    • Basili Boay Gwawu - Imboru
    • Bayi Agustino Agapius - Endagikot
    • Emanuel Severino Malle - Kainam
    • Emanuel Akonaay Bura - Murray
    • Juliana Deengw Musso - Gunyoda
    • Kastuli John Umbe - Marang
    • Michael Safari Ami - Nambis
    • Mwajuma Athumani Kabuga - Uhuru
    • Peter Evaristi Golis - Daudi
    • Umbu Margwe Mayo - Ayamaami
    • Vita Kalamu Gilaksa - Silaloda
    • Anna Athanasi Hhayuma - Viti Maalum
    • Bernadetha Andrea Tsere - Viti Maalum

GoTHOMIS iliyoboreshwa Imenoga, Halmashauri Jipangeni kuipokea - Serikali

Posted on: February 8th, 2020

Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kujipanga kwa ajili ya maandalizi ya kuupokea mfumo ulioboreshwa wa usimamizi na uendeshaji wa shughuli za afya (Improved Government of Tanzania Health Operations Management Information System-GoTHOMIS), unaomaliziwa kusukwa hivi sasa na wataalamu wazawa.

Rai hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Dorothy Gwajima, muda mfupi baada yakutembelea kikosi kazi hicho mkoani Morogoro kinachoiendelea na kazi ya usukaji wa mfumo.

Akizungumza mara baada yakupata wasilisho kutoka kwa wataalam, Dkt. Gwajima, alisema Serikali imejizatiti katika uimarishaji wa miundombinu ya afya lakini uimarishaji huo wa miundombinu utakuwa na maana sana kama mifumo madhubuti na yenye tija itasimikwa katika kila kituo  cha kutolea huduma za afya.


“Nakosa cha kuongea maana nimezunguka nchi hii takribanini yote sasa, matatizo makubwa yaliopo huko, ni pamoja na utunzaji mbovu wa kumbukumbu, hivyo tukiwa na mfumo kama huu ni matumaini yangu tutakuwa tumepata suluhu ya kudumu” alisema Dkt. Gwajima, na kuongeza kuwa “kwa kuwa kipindi hiki ni cha maandalizi ya bajeti kila kituo kione uwezekano wakutenga milioni 10 kwa ajili ya vifaa. Aidha kwa upande wa zahanati wanaweza kuwatumia wadau na nimelichukua tuone tutalishughulikiaje” alisisitiza Naibu Katibu Mkuu.

Awali akitoa wasilisho kwa niaba ya kikosi kazi, mtaalam wa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Melkiory Baltazari alisema kwamba, mara baada ya kukamilika kwa mfumo yatahitajika mafunzo kwa watumiaji wa mfumo kwani maboresho yaliyofanyika ni muhimu mtumiaji kupata kuujua mfumo.

“Mhe. Naibu Katibu Mkuu, tunajua kwa sasa hatuna kada ya watu wa TEHAMA kwenye ngazi ya kituo, hivyo tunategemea  kutoa mafunzo kwa watumiaji wa mfumo huu ili waweze kuutumia kikamilifu mara baada ya maboresho haya” alifafanua Melkiory.


Mapema tarehe 10 na 11 Novemba, 2019, kikosi kazi hicho kilipokea ugeni wa Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa nyakati tofauti ambapo katika maelekezo yote, walikitaka kikosi kazi kukamilisha kazi  nifikapo tarehe 30 Machi, 2020.

Mapema akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu kuzungumza na kikosi kazi, Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Erick Kitali, alisema kazi hiyo itakamilika kwa wakati na mara baada yakukamilisha kazi mfumo huo utasimikwa kwenye vituo vyote vya kutoa huduma za afya vilivyopangwa.

“Ndugu Naibu Katibu Mkuu, pamoja na kwamba tulipanga kazi hii ikamilike mwezi Machi na kwa muelekeo ulivyo tumefikia asilimia 70, hata hivyo tupo tayari kupokea maelekezo yako” alisema Kitali

GoTHOMIS Iliyoboreshwa ni mfumo muendelezo wa GoTHOMIS ya mwanzo ambayo ilifungwa na kuonesha mafanikio makubwa kuanzia ngazi ya Vituo vya Afya mpaka Hospitali za Mikoa na tayari zaidi vituo 518 yalikuwa yamefungiwa mfumo huo kusadia hasa katika suala zima la utoaji wa huduma bora, utunzaji wa kumbukumbu, kuongeza ufanisi wa kazi na kudhibiti mapato ya serikali yaliyokuwa yakipotelea mikononi mwa watu waovu wachache.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA KUANZA KUTOLEWA MBULU MJI May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU June 09, 2025
  • KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA AFYA KWA MTOTO June 01, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WANANCHI WASISITIZWA KUWA MSTARI WA MBELE UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

    July 10, 2025
  • WATENDAJI WAHIMIZA KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA CHAKULA SHULENI KWA WANAFUNZI.

    July 08, 2025
  • SENDIGA ARIDHIA MIRADI NANE(8) KUPITIWA NA MWENGE WA UHURU MBULU TC.

    July 04, 2025
  • VIONGOZI WA NGAZI ZOTE MBULU TC WAMAETAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA UTOAJI WA TAARIFA ZA VITENDO VYA UKATILI

    June 30, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.