Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya ajira za Madaktari kuanzia tarehe 24 Machi, 2020 hadi tarehe 10 Aprili, 2020 kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi yaliyopokelewa limekamilika. Aidha, waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari waliokidhi vigezo wamepangiwa kazi katika Vituo vya Afya na Hospitali mbalimbali za Halmashauri nchini.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI MD 610.pdf
orodha-ya-madaktari-na-vituo-walivyopangiwa-ajira-mpya-mei-2020-2.pdf
Ujenzi
Anuani: P.O Box 164 Mbulu
Simu: +255 272 2533331
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: td@mbulutc.go.tz
Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.